Saturday, 9 December 2017

BAADHI YA VYAKULA TUNAVYOTUMIA KILA SIKU VIMEBAINISHWA KITAALAMU KUSABABISHA KUNYONYOKA KWA NYWELE

PICHA NA: Getty image.com

Kwa kutumia Sayasi huenda kukawa na njia halisia za kuzuia magonjwa mbalimbali mwilini, kupandisha kinga ya mwili ya kupambana na magonjwa mbalimbali kwa kutumia mimea, matunda na vyakula asilia.

Kulingana na tafiti zilizofanywa na taasisi ya “Growing body” ya nchini Uingereza chini ya dokta Hilary Jones, vyakula vya mbogamboga licha ya kuwa vina umuhimu mkubwa katika kuupatia mwili madini mbalimbali ikiwemo wanga na protini pia huweza kusababisha kupukutika kwa nywele zako kichwani.

Lakini pia imebainishwa ulaji wa nyama (hasa zilizosindikwa) na sio fresh, pamoja na zile za kuku wa kisasa mara kwa mara pasipo kubadilisha, hukosa vitamini na virutubisho maalumu ambavyo huitajika na mwili kwa ajili ya kufanya nywele kukua na kuziwekea uimara zisiweze kunyonyoka au (kupukutika)

Lakini ajabu zile za nguruwe (pork) na nyama za jamii ya ndege (Poultry) mfano kuku wa kienyeji, hutoa usaidizi mkubwa katika kuupatia mwili madini ya chuma ambayo ndio huitajika na mwili zaidi kwa ajili ya kukuza nywele, na kuondoa hatari ya kubakia pasipo nywele sehemu flani kichwani (Upara-baldness)

Kulingana na tafiti hizo zilizofanywa na “Growing body of Research” zimeonyesha, ulaji wa vyakula vya mbogamboga mara nyingi huweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kupoteza nywele zako.
LINK: Try these 9 ways to stop hair loss right now.

HIZI NDIO SABABU ZA KUWAFANYA WANAUME WENGI KUWA NA UPARA


PICHA NA: Getty image.com

Zipo sababu nyingi zinazopelekea kupukutika kwa nywele kwa wanaume, : Dr Hilary Jones ameliambia jarida hilo la express” inawezakusababishwa na baiolojia mwili zenye kurithiwa kutoka mtu na mtu (genetic) kutokana na mazingira mbalimbali ambayo huufanya mwili kushindwa kutengeneza kinga yake yenyewe ili kuweza kupambana na magonjwa mbalimbali yaletwayo na upungufu wa virutubisho mwili.

Lakini pia baadhi ya magonjwa flani katika mwili kama ugonjwa wa kansa ya damu (anemia) nayo pia humfanya muusika kupoteza nywele zake kwa haraka kutokana na magonjwa mfano wa hayo.

Kwa tafiti na chunguzi mbalimbali zilizofanyika takribani kwa miaka40, na kuhitimishwa mnamo mwaka2006, imeonyesha kuwa mwili kuwa na madini ya chuma ya kutosha pekee ndio husaidia kukuza nywele, na ukosefu wa virutubisho mwili hivyo ndio hufanya kupoteza nywele hizo, ‘kubakia upara au kukatika nywele zako’
LINK: A 2006 review of 40 years of research revealed a close link between iron deficiencies and hair loss.

Madini ya chuma ndio sababu hulisha nywele kukua na kuwa na rutuba, lakini upungufu wa madini hayo mwilini kwa wingi ndio hufanya nywele kukatika kwa wanawake na kwa upande wa wanaume kupoteza nywele zao kuanzia kwenye paji la uso na mwisho wa siku kubakia na upara (Baldness).

Je! Ni kwa namna gani unaweza kuzuia kupoteza nywele zako? Fuata kiunganisho (Link) hiki hapa: natural remedies for hair loss, au hapa this new, cutting-edge treatment ambazo huweza kukusaidia kulinda nywele zao na kuzipa virutubisho vilivyobora.

Kulingana na taasisi ya The National Institutes of Health inapendekeza kutumiwa kwa walau miligramu 8 (mg) za madini ya chuma kwa kila siku kwa wanaume, na madini hayo hushauriwa yasitokane na ulaji mwingi wa nyama zilizosindikwa za wanyama, mboga za spinach, maharagwe na matunda yaliyosindikwa, ambayo yote haya nayo kwa pamoja hupatikanika madini mbalimbali endapo ikitumiwa ikiwa bado halisi (Fresh).

ANGALIZO: unapoanza kutumia vyakula na matunda hayo yaletayo madini ya chuma pata ushauri kwanza wa daktari, kwani kuzidisha matumizi sahihi ya madini hayo huweza kuleta pia madhara makubwa katika mwili wako.

Dalili za awali za mgonjwa kusumbuliwa na Anemia. PICHA NA: Getty image.com
Lakini maajabu ni kuwa:
Inasemekana, Wanawake wengi huvutiwa saana na wanaume wenye upara kulingana na tafiti zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani na taasisi tofauti, Angalia zaidi hapa:
[Express, WebMD]

KUHUSU WANAUME WENYE UPARA KUSEMEKANA WANAVUTIA, INGIA HAPA: being bald can actually boost your attractiveness.

No comments:

Post a Comment