Asali iliyochujwa na kuwa safi, na ikiwa imezindikwa. |
Asali hufahamika
vema Duniani kote kama mojawapo ya tiba ya ajabu katika kuukinga mwili dhidi ya
magonjwa mbalimbali nyemelezi zaidi ya 120, pamoja na na matatizo mengine yatokanayo
au yachagizwayo na rika la uzee.
ASALI
imethibitishwa kitaalamu kuwa, ina uwezo mkubwa wa kufanyiza kinga-mwili,
pamoja na kutibu magonjwa mengi zaidi endapo ikichanganywa na Kiungo iitwacho
Mdalasini, (kiungo hiki mara nyingi watu wamekuwa wakikitumia kuchanganya
kwenye chai au uji ili kuupatia ladha ya utofauti.)
Kwa mujibu na
tafiti zilizofanywa na wataalamu wa (Jarida la World News) lilalohusika na uchunguzi na ugunduzi wa tiba mbalimbali
na madawa yatokanayo na mimea, pamoja na kijarida cha afya na lishe, kwa pamoja
wamethibitisha hili kuwa, mchanganyiko wa asali na mdalasini una matokeo ya
kushangaza zaidi katika kuupatia mwili virutubisho mbalimbali ambavyo huufanya
mwili kuwa na kinga imara ambayo huuuwezesha mwili huo kumbambana na magonjwa mbalimbali
nyemelezi ikiwemo yale ya asili yaletwayo na uzee.
Mdalasini uliokwisha sagwa tayari kwa matumizi. |
BAADHI YA FAIDA ZA ASALI NA MDALASINI KATIKA MWILI WA
BINAADAMU:
Matumizi ya
asali na mdalasini kwa muda mrefu husaidia kutibu maumivu ya viungo vya mwini,
kuondoa sumu kwenye damu na kuufanya mwili kuwa soft, pasipo kusumbuliwa na
magonjwa ya ngozi kama chunusi au mapunye.
NJIA: Tengeneza mchanganyiko huo
kijiko kimoja cha mdalasini na vijiko viwili vya asali, kisha weka na koroga
kwenye kikombe cha chai, ikiwezekana tumia asali tu badala ya sukari, na
hakikisha unakunywa asubuhi na usiku nusu saa kabla ya kulala.
Katika tafiti
iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen-Denmark, madaktari
waliwapa wagonjwa 200, mchanganyiko wa kijiko kimoja cha asali na kimoja cha
mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa, ambapo Asilimia 73% kati ya
wagonjwa hao walipofanyiwa uchunguzi mwezi mmoja uliofuata, wailiripoti nafuu
kubwa kwa maumivu yao na ongezeko maradufu katika kufanya shughuli kama
kujongea na kutembea vyema kwa wazee.
KUSAIDIA KUZUIA KUKATIKA KWA NYWELE NA KUZIPA VIRUTUBISHO
NJIA: Asali
ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya mzeituni (olive)
hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya
Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa
dakika 15.
HUSAIDIA KUTIBU FANGASI MWILI (FUNGUS) miguuni na vidoleni kwa wale
walioathirika na sabuni kwa ufuaji mwingi wa mara kwa mara:
NJIA: Changanya kijiko kikubwa cha mezani
cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu zilizoathirika
usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako
itakwisha kwenye kipindi cha wiki moja.
ASALI HUTIBU MAAMBUKIZO SUGU YA KIBOFU CHA MKOJO (Bladder Infection)
NJIA: Chukua Bilauri ya maji ya
uvuguvugu, changanya na vijiko viwili vya mdalasini na kijiko kimoja cha asali
kisha kuwa unatumia, au kama tatizo ni sugu zaidi (kibofu kimeathiriwa zaidi,
tumia juisi ya Cranberry badala ya maji ya uvuguvugu.
HUTIBU NA KUONDOSHA MAFUTA YASIYOHITAJIKA MWILINI (Cholesterol)
Madhara yaletwayo na vyakula vyenye
mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya kinywaji hiki cha
asali+mdalasini+asali, au kutumia hivyo hivyo mara baada ya kula (asubuhi na
jioni) Hii imeripotiwa na
mtafiti maarufu Dr Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.
Ugunduzi wao uliyakinishwa kwenye
jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994.
HUTIBU
MAUMIVU YA KOO, KIFUA PAMOJA NA MAFUA SUGU:
Ukitumia mchanganyiko
huu hakika, na kama una matatizo hayo utaona maajabu ndani ya siku moja/mbili
tu.
NJIA: Tumia kijiko
kimoja cha asali na maji vuguvugu yaliyochanganywa na robo kijiko cha
mdalasini, kisha tumia mchanganyiko huo, kwa siku kadhaa utaanza kuuona unafuu
kama sio kupona kabisa.
HUSAIDIA KUIBU MATATIZO YA UZAZI
(infertility)
Matumizi ya asali na
mdalasini kwa wanandoa/wapenzi husaidia kuzalisha homoni nyingi ambazo ndizo
huitajika na mwili katika kuleta vichocheo (hisia) katika kuendeleza uzazi,
pamoja na kurekebisha urutubishaji mzuri wa mbegu za uzazi kwa wanaume.
NJIA: Wapenzi wa
jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa walau vijiko viwili vya asali
iliyochanganywa na mdalasini kila siku, asubuhi na kabla ya muda wa
kulala (usiku).
TAFITI ZILIZOFANYWA: Zinaonyesha Mdalasini umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za
kihindi na kichina ili kuongeza uwezo wa uzazi kwa kina mama wenye kuhitaji
kupata uzao.
Nchini China: Familia moja iliyokuwa haina watoto ilitumia
mgando huu kwa mafanikio na kupata mapacha wa kike baada ya kushindwa kwa muda
wa miaka 14 kupata mtoto, hali iliyofanya kukata tamaa ya kupata tena watoto
hadi waliposikia kuhusu mchanganyiko huu wa asali na mdalasini na kuanza
kuutumia.
HUSAIDIA KUTIBU MAGONJWA YAMOYO (Heart Disease)
HUSAIDIA KUTIBU MAGONJWA YAMOYO (Heart Disease)
Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo
na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali
na mdalasini mara kwa mara.
Tiba hii ya maajabu
iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa
katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmoja ulionyesha.
ASALI
HUONGEZA UMRI WA KUISHI (LONGERVITY)
Unaweza kuishi
kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa kunywa kila
siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali. Kutengeneza kinywaji hiki
kitamu, weka vijiko vinne vikubwa vya mdalasini katika vikombe vitatu vya maji
na koroga kwa dakika 10, kunywa robo kikombe kutwa mara tatu au nne na hivyo
utakuwa na kinywaji kingi.
GENERAL MERITS OF HONEY USES FOR HUMAN BEING:
-
Honey is rich in humectant compounds. This helps retain the
moisture content in skin and restore its elasticity, making skin supple.
-
It
helps remove dead skin cells and prevent the appearance of wrinkles.
-
The
antibacterial and antimicrobial property of honey helps prevent the growth of
certain bacteria and so it is used to treat wounds, cuts, burns and abrasions.
-
Honey
helps clean wounds, reduces dour and pus, lessens pain and promotes speedy
healing.
-
Honey
is used to treat damaged skin and regenerate new skin cells. It also
effectively cures eczema, dermatitis and other skin disorders.
-
Owing
to the potent anti-fungal properties in honey, it can help cure infections like
athlete’s foot and jock itch.
-
Honey
is loaded with natural antioxidants, which help protect the skin from
ultraviolet damage.
-
Over
exposure to the sun causes skin damage and premature aging. Honey can also be
used as a sunscreen to protect the skin from the sun.
-
Honey
deeply penetrates the skin’s top layer, unclogs pores and sloughs off
impurities. Thus, it helps fight infections and curb acne problems.
-
Honey
is a good skin moisturiser and effectively tones and firms up the skin.
-
The
application of honey on chapped and wrinkled lips will make them wonderfully
smoother and softer.
-
Honey
is composed of sugars like glucose and fructose and minerals like magnesium,
potassium, calcium, sodium chlorine, sulphur, iron and phosphate.
-
Honey
contains vitamins B1, B2, C, B6, B5 and B3, all of which vary according to the
qualities of the nectar and pollen. Copper, iodine, and zinc also exist in
honey in small quantities.
-
Carbohydrates
in the form of glucose and fructose supply the body with energy, which can
boost endurance and reduce muscle fatigue. 15. Honey helps relieve morning
sickness.
-
Regular
consumption of honey will increase calcium absorption and hemoglobin count
helping to fight anemia.
-
Honey
also helps lower total cholesterol while increasing HDL (good) cholesterol.
-
It
can also be used to treat respiratory tract infections owing to its
expectorant, soothing and demulcent properties.
-
As
honey helps modulate the immune system, it prevents the recurrence of
infections.
-
Honey
plays a pivotal role in managing obesity. It helps accelerate metabolism, which
in turn helps the body burn more fat.
LINKS: Cheap
Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
TEMBELEA UKURASA HUU, NA PERUZI ZAIDI ILI KUPATA ELIMU ZAIDI, KISHA SAMBAZA KWA MARAFIKI ZAKO NAO KUPATA ELIMU.
LINK: https:www.facebook.com/stewart.meena
No comments:
Post a Comment