Thursday, 2 November 2017

MAGONJWA MENGI HUTIBIKA KWA KUTUMIA TIBA ASILIA, JE! WAJUA FAIDA ZA ASALI!?


Asali iliyochujwa na kuwa safi, na ikiwa imezindikwa.
 
Asali hufahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya tiba ya ajabu katika kuukinga mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali nyemelezi zaidi ya 120, pamoja na na matatizo mengine yatokanayo au yachagizwayo na rika la uzee.
 
ASALI imethibitishwa kitaalamu kuwa, ina uwezo mkubwa wa kufanyiza kinga-mwili, pamoja na kutibu magonjwa mengi zaidi endapo ikichanganywa na Kiungo iitwacho Mdalasini, (kiungo hiki mara nyingi watu wamekuwa wakikitumia kuchanganya kwenye chai au uji ili kuupatia ladha ya utofauti.)

Kwa mujibu na tafiti zilizofanywa na wataalamu wa (Jarida la World News) lilalohusika na uchunguzi na ugunduzi wa tiba mbalimbali na madawa yatokanayo na mimea, pamoja na kijarida cha afya na lishe, kwa pamoja wamethibitisha hili kuwa, mchanganyiko wa asali na mdalasini una matokeo ya kushangaza zaidi katika kuupatia mwili virutubisho mbalimbali ambavyo huufanya mwili kuwa na kinga imara ambayo huuuwezesha mwili huo kumbambana na magonjwa mbalimbali nyemelezi ikiwemo yale ya asili yaletwayo na uzee.

Mdalasini uliokwisha sagwa tayari kwa matumizi.

BAADHI YA FAIDA ZA ASALI NA MDALASINI KATIKA MWILI WA BINAADAMU:

Matumizi ya asali na mdalasini kwa muda mrefu husaidia kutibu maumivu ya viungo vya mwini, kuondoa sumu kwenye damu na kuufanya mwili kuwa soft, pasipo kusumbuliwa na magonjwa ya ngozi kama chunusi au mapunye.

NJIA: Tengeneza mchanganyiko huo kijiko kimoja cha mdalasini na vijiko viwili vya asali, kisha weka na koroga kwenye kikombe cha chai, ikiwezekana tumia asali tu badala ya sukari, na hakikisha unakunywa asubuhi na usiku nusu saa kabla ya kulala.

Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen-Denmark, madaktari waliwapa wagonjwa 200, mchanganyiko wa kijiko kimoja cha asali na kimoja cha mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa, ambapo Asilimia 73% kati ya wagonjwa hao walipofanyiwa uchunguzi mwezi mmoja uliofuata, wailiripoti nafuu kubwa kwa maumivu yao na ongezeko maradufu katika kufanya shughuli kama kujongea na kutembea vyema kwa wazee.

KUSAIDIA KUZUIA KUKATIKA KWA NYWELE NA KUZIPA VIRUTUBISHO

NJIA: Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya mzeituni (olive) hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15.

HUSAIDIA KUTIBU FANGASI MWILI (FUNGUS) miguuni na vidoleni kwa wale walioathirika na sabuni kwa ufuaji mwingi wa mara kwa mara:

NJIA: Changanya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha kwenye kipindi cha wiki moja.

ASALI HUTIBU MAAMBUKIZO SUGU YA KIBOFU CHA MKOJO (Bladder Infection)

NJIA: Chukua Bilauri ya maji ya uvuguvugu, changanya na vijiko viwili vya mdalasini na kijiko kimoja cha asali kisha kuwa unatumia, au kama tatizo ni sugu zaidi (kibofu kimeathiriwa zaidi, tumia juisi ya Cranberry badala ya maji ya uvuguvugu.

HUTIBU NA KUONDOSHA MAFUTA YASIYOHITAJIKA MWILINI (Cholesterol)

Madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya kinywaji hiki cha asali+mdalasini+asali, au kutumia hivyo hivyo mara baada ya kula (asubuhi na jioni) Hii imeripotiwa na mtafiti maarufu Dr Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.

Ugunduzi wao uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994.

HUTIBU MAUMIVU YA KOO, KIFUA PAMOJA NA MAFUA SUGU:

Ukitumia mchanganyiko huu hakika, na kama una matatizo hayo utaona maajabu ndani ya siku moja/mbili tu.

NJIA: Tumia kijiko kimoja cha asali na maji vuguvugu yaliyochanganywa na robo kijiko cha mdalasini, kisha tumia mchanganyiko huo, kwa siku kadhaa utaanza kuuona unafuu kama sio kupona kabisa.

HUSAIDIA KUIBU MATATIZO YA UZAZI (infertility)

Matumizi ya asali na mdalasini kwa wanandoa/wapenzi husaidia kuzalisha homoni nyingi ambazo ndizo huitajika na mwili katika kuleta vichocheo (hisia) katika kuendeleza uzazi, pamoja na kurekebisha urutubishaji mzuri wa mbegu za uzazi kwa wanaume.

NJIA: Wapenzi wa jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa walau vijiko viwili vya asali iliyochanganywa na mdalasini kila siku, asubuhi na kabla ya muda wa kulala (usiku). 

TAFITI ZILIZOFANYWA: Zinaonyesha Mdalasini umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza uwezo wa uzazi kwa kina mama wenye kuhitaji kupata uzao.
Nchini China: Familia moja iliyokuwa haina watoto ilitumia mgando huu kwa mafanikio na kupata mapacha wa kike baada ya kushindwa kwa muda wa miaka 14 kupata mtoto, hali iliyofanya kukata tamaa ya kupata tena watoto hadi waliposikia kuhusu mchanganyiko huu wa asali na mdalasini na kuanza kuutumia.
HUSAIDIA KUTIBU MAGONJWA YAMOYO (Heart Disease)

Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara.

Tiba hii ya maajabu iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmoja ulionyesha.
ASALI HUONGEZA UMRI WA KUISHI (LONGERVITY)

Unaweza kuishi kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa kunywa kila siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali. Kutengeneza kinywaji hiki kitamu, weka vijiko vinne vikubwa vya mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10, kunywa robo kikombe kutwa mara tatu au nne na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.

GENERAL MERITS OF HONEY USES FOR HUMAN BEING:

-      Honey is rich in humectant compounds. This helps retain the moisture content in skin and restore its elasticity, making skin supple.

-      It helps remove dead skin cells and prevent the appearance of wrinkles.

-      The antibacterial and antimicrobial property of honey helps prevent the growth of certain bacteria and so it is used to treat wounds, cuts, burns and abrasions.

-      Honey helps clean wounds, reduces dour and pus, lessens pain and promotes speedy healing.

-      Honey is used to treat damaged skin and regenerate new skin cells. It also effectively cures eczema, dermatitis and other skin disorders.

-      Owing to the potent anti-fungal properties in honey, it can help cure infections like athlete’s foot and jock itch.

-      Honey is loaded with natural antioxidants, which help protect the skin from ultraviolet damage.

-      Over exposure to the sun causes skin damage and premature aging. Honey can also be used as a sunscreen to protect the skin from the sun.

-      Honey deeply penetrates the skin’s top layer, unclogs pores and sloughs off impurities. Thus, it helps fight infections and curb acne problems.

-      Honey is a good skin moisturiser and effectively tones and firms up the skin.

-      The application of honey on chapped and wrinkled lips will make them wonderfully smoother and softer.

-      Honey is composed of sugars like glucose and fructose and minerals like magnesium, potassium, calcium, sodium chlorine, sulphur, iron and phosphate.

-      Honey contains vitamins B1, B2, C, B6, B5 and B3, all of which vary according to the qualities of the nectar and pollen. Copper, iodine, and zinc also exist in honey in small quantities.

-      Carbohydrates in the form of glucose and fructose supply the body with energy, which can boost endurance and reduce muscle fatigue. 15. Honey helps relieve morning sickness.

-      Regular consumption of honey will increase calcium absorption and hemoglobin count helping to fight anemia.

-      Honey also helps lower total cholesterol while increasing HDL (good) cholesterol.

-      It can also be used to treat respiratory tract infections owing to its expectorant, soothing and demulcent properties.

-      As honey helps modulate the immune system, it prevents the recurrence of infections.

-      Honey plays a pivotal role in managing obesity. It helps accelerate metabolism, which in turn helps the body burn more fat.

LINKS: Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
 
TEMBELEA UKURASA HUU, NA PERUZI ZAIDI  ILI KUPATA ELIMU ZAIDI, KISHA SAMBAZA KWA MARAFIKI ZAKO NAO KUPATA ELIMU.
LINK: https:www.facebook.com/stewart.meena
 

No comments:

Post a Comment