Friday, 1 April 2016

JE WAJUA KUHUSU SIKU YA WAJINGA DUNIANI



FAHAMU KUHUSU SIKU YA WAJINGA DUNIANITAREHE KAMA YA LEO
Fahamu kuhusu Siku ya wajinga Duniani (April 01 fools'Day
April Fools Day > Kiswahili ni “Siku ya wajinga”, Siku hii huadhimishwa Ulimwenguni pote kila Ifikapo tarehe 1 Mwezi 04 kila mwaka, na ni tofauti na Sikukuu za kiTaifa.
 
Maadhimisho ya siku hii ya Wajinga huwa na Pande mbili, pia Huambatana na Utani Wa Vitendo “practical jokes” pamoja na kusambaza taarifa za Uzushi.

Upande wa kwanza ni ule wa watu ambao hawaikumbuki siku hii ya Wajinga, na Wapili ni ule wa Watu wanaokumbuka. Hivyo wahanga wa siku hii ni wale Wasioikumbuka ambao wikifanikisha Kudanganywa huitwa WajingaWaAprili.

Mara nyingi Vyombo Vya Habari (Tv na Redio) huripoti habari fulani za uongo, ambapo baadaye huzikanusha na kuwaakumbusha watu kuwa 1 April ni siku gani. Magazeti Hayachapishi habari za uzushi kwani Mwisho Wa Kudanganya ni Saa04:00am Za Asubuhi.

Wajinga “foolishness” hupewa majina tofautitofauti kulingana na Tamaduni za Sehemu husika: Mfano Nchini Uingereza huitwa-“Noodle au Gobby”

Nchi za: Italia, Ufaransa, Ubeljiji, Switzerland na Canada, Siku hii ya 1 April, Kiutamaduni Huitwa "April fish" (Poissons d'avril kwa Ufaransa na Pesce d'aprile kwa Italia) hii ni pamoja na kuambatanisha na Karatasi yenye Mchoro wa Samaki ndani yake.
Nchini Brazil, Siku ya Wajinga Huitwa  "Dia da Mentira" ("Day of the lie") n.k.

ADHARI:
Watu wengi hupoteza mali nyingi siku hii, Watu hupoteza Muda wao mwingi labda kwa kusafiri kutoka umbali mrefu na kufuata habari au taarifa flani za uongo, Wapo watu waliodanganywa kuwa wapendwa wao wamekufa na kuwapelekea wao kupatwa na #Kiharusi, Presha n.k. Na hivyo wahusika #Hawachukuliwi kuwa na Hatia.

Cultural references
Also called
All Fools' Day
Type
Cultural, Western
Significance
Practical pranks
Observances
Comedy
Date
Next time
1 April 2016
Frequency
Annual

No comments:

Post a Comment