Monday, 1 February 2016

Je! wajua? KUNA MATABAKA MATATU YA MAJI CHINI YA ARDHI?, na MIKONDO YOTE YA MAJI ILIYOPO CHINI YA ARDHI, CHANZO CHAKE NI BAHARI?

MAKALA, NA STEWART MEENA.
 
 
·       MIKONDO YOTE YA MAJI ILIYOPO CHINI YA ARDHI, CHANZO CHAKE NI BAHARI?

Makala na Stewart Meena. => [Twende Sawa]

 1= Maji yaliyopo karibu zaidi na uso wa dunia, huwa na uchafu mwingi (maji taka) ambapo Hayafai kwa Matumizi ya Binadamu, maji haya mara nyingi #unapoyachimba hufaa tu kwa matumizi ya Kufulia au kuogea na si safi kwa matumizi ya kunywa.

 2= Eneo la Maji linalofuatia, huwa ni maji safi lakini maji hayo huwa na Wingi wa magadi au chumvi (maji chumvi) na hivyo hayana ladha kwa kuyanywa….

3= eneo la tatu, Yaani mbali zaidi na uso wa dunia (km35-100) haya ndio #Maji_Safi na Salama kwa matumizi yakunywa kwani Hayana Ladha ya chumvi wala Magadi…

#Mfano:

#AUSTRALIA Pekee: Inakadiriwa kwamba Zaidi ya Kilomita Laki Tano (500,000) za Maji yasio na Chumvi yako chini ya Sakafu ya Bahari ya Ulimwengu.

#Vicent mtaalamu wa Elimu ya maji wa Chuo Kikuu cha #Flinders_Adelaide, anasema hivi: “Kuna wakati ambapo Usawa wa Bahari ulikuwa chini zaidi kuliko vile ilivyo sasahivi” Hivyo Ufuo uliokuwepo wakati huo Umemezwa na Maji.

Fikiria: #Mvua inaponyesha Ingejaza maji mpaka katika Eneo lote Ambalo lipo chini ya Bahari, ingekuwaje (unapojifunza Recycling ya Maji) yaani Maji #Kuchevushwa kutoka katika Vyanzo vya Maji na Nishati ya Jua, na Kiasi cha mvuke wake Kupalizwa angani na kukutana na #Anga_Gesi (Nitrojen, Sulfa, KabonDayoksaidi na Oksijeni) na kisha #Kugandishwa na kisha kunyesha tena kama mvua#Duniani.

Hivyo Mvua inaponyesha katika Ardhi huingia chini ya Ardhi na kukuta Mikondo ya Maji iliyopo chini ya Ardhi (Underground Wells & Canals) na Mikondo hiyo husafirisha maji hayo hadi katika Bahari kuu na Pindi jua linaponururishwa huyafukiza tena maji hayo kurudi tena Angani na kuwa mvua tena…

SAYANSI DUNIA:

#Unajua Wanasayansi wanatumini kwamba kuhifadhiwa kwa vyanzo vyote vya maji, kwa  kuyaweka maji katika sehemu salama kutoka Ardhini=>kwenda Bahararini=> kisha Angani na kuwa Mvua tena, ndio sababu ya kuendeleza Uhai wa #WANADAMU.

Hivyo Kufanyizwa kwa sehemu hizo zilizoko chini ya Bahari huenda Kungesaidia Watu wapatao Milioni-700 Ambao hawawezi kupata Maji Safi na salama.

 MIKONDO YA MAJI CHINI YA ARDHI:

Mikondio yote iliyopo chini ya Ardhi, chanzo chake kikuu ni bahari…

(huenda Ukajiuliza maswali kuwa Maji yawezaje Kupita chini ya tabaka la Ardhi!?)

 
 
 
Eneo la Ufuo wa Maji (mkoani tanga) hapa ni mandhari katika maeneo ya Mto pangani Tanga. Picha na Stewart Meena.
#MIAMBA LAINI YA STALACTICE: Ndio chanzo cha maji kupenya chini ya Ardhi na kupata njia yake (mkondo) katikati ya Miamba hiyo na kuanza safari Muda hadi muda, kuelekea Maeneo mengine..
 
Hapa tukiwa (Ndani) katika mapango ya Amboni Taga Sehemu hii Wanapaita (Sehemu ya Kupakia Ngege kwani, Panaonekana Mfano wa Ngazi za Ndege, na Zimijitengeneza kuelekea juu. Picha na Stewart Meena
Sehemu hiyo (Juu pichani) ni mfano wa miamba ya "Stalactice" ambayo huweza kuruhusu kukua, kuathiriwa na maji nk.
Itaendelea.......

No comments:

Post a Comment