Wednesday, 11 April 2018

FAHAMU NCHI ZA KIAFRIKA NA VIPINDI WALIPOPATA UHURU KAMILI TOKA UKOLONI!



UKOLONI
 
Bara la Afrika lina historia pana zaidi pengine kuliko mabara yote duniani, tokea wakati wa ukoloni hadi katika harakati za kujikomboa kutoka utumwani na utawala wa Wazungu wa kiMabavu.
Historia inaeleza mwanzoni mwa karne ya 17th AD, mataifa ya Ulaya, ambao walikuwa wakichuana wenyewe ili kujipatia maeneo ya kumiliki yenye mali ghafi (kama madini na ardhi yenye rutuba) ili kuendeleza viwanda vyao ambavyo ndio kwanza vilikua vimeanza kufanya kazi, wakati huu ukiitwa (Scramble and Partition)
Mapinduzi ya viwanda yalianzia nchini Uingereza (1850’s) na kuendea maeneo mengine ya Ulaya, America na Asian, ambapo tokea wakati huo hadi kufikia miaka ya 1905, karibu maeneo yote ya ardhi ya bara la Africa yalikuwa tayari yamekwisha-gawiwa kwa mataifa hayo (wenyewe kwa wenyewe) iwe kwa kuingia mikataba ya ulaghai dhidi ya Machifu wa kiafrika au kwa kutumia mabavu kuyateka na kuyatawala maeneo hayo.

Kuja kwa wazungu Afrika, kulichagizwa na viwanda hivyo kwa sababu vilihitaji mali ghafi kujiendeleza na maeneo mengi ya ulaya hakukuwa na mali ghafi hizo za kutosha hivyo walianza kutafuta maeneo mengine ya dunia kwa ajili ya kujipatia “Raw material” hizo.
Nchi pekee katika bara hili la Afrika ambazo hazikuweza kutawaliwa na wakoloni, kutokana na jeografia ya eneo husika au kutokana na mashambulizi ya wenyeji yakiongozwa na machifu wao imara kuyazuia maeneo yao kutwaliwa na wazungu ni pamoja na Liberia, Siera-Leone zilizotumiwa kama maeneo maalumu ya kuwaachilia watumwa “Wafungwa” kutoka bara la Amerika; pamoja na Ethiopia kutokana na nchi hiyo kuwa na Milima na kutokutawalika kirahisi.
UHURU: Harakati za mataifa mbalimbali ya kiafrika kuanza kujikomboa wenyewe kutoka utawala wa kimabavu wa wazungu ulianza baada ya vita ya pili ya dunia 1939-1945 (world war II).
Ambapo wakati wa vita hivyo, ilipelekea nchi ya Misri (1922) kujipatia uhuru wa muda mfupi, pamoja na Afrika-kusini nayo kujipatia uhuru wa kwanza (Minority independence) mwaka 1931, kwa maafikiano na taifa la Uingereza.

Kisha Libya ikafutatia kuwa ya pili kujitawalia uhuru wake  chini ya Rais. Kwame Nkurumah (1951) kutoka nchi ya Italia, baada ya wakati huo sasa ndio mlolongo mzima wa nchi nyingine barani humu kujipatia uhuru wake kwa njia tatu zilizotumika, ambazo ni Kwa Mapambano na mapinduzi, Maongezi ya amani pamoja na Mapatano (Negotiation, peaceful means and Revolutions)
Njia ya kuelekea Uhuru, kwa mataifa haya mengine ya Kiafrika yalikuwa ni magumu, kutokana na utajiri wa mali ghafi walizokuwa nazo huku wazungu wenyewe wakiweka ngumu kuondoka.

Kuweka ngumu huko kulisababisha uteswaji wa wazawa wenyewe (tortuous) umwagaji wa damu (Bloodshed)  kutokana na mapambano ya mara kwa mara, kupigwa risasi na kunyongwa hadharani.
Kwa mfano: Nchi ya Misri (Egypt) ilipewa uhuru wake na waingereza kwa mkataba wa “Anglo Egyptian treaty” tarehe22 february, mwaka1922, lakini walikuwa hawawezi kufanya maamuzi yao binafsi na maamuzi yote makuu yaliamuliwa na waingereza wenyewe, na aliyekaidi kuyafuata alikutana na mateso, kifo nk. (pitia zaidi kuhusiana na Anglo-Egyptian treaty in 1936)

Na hiyo ilidumu hadi mwaka 1952, ndipo ilipofika mwaka-1952 kupitia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika nchini humo wakafanikiwa kujikomboa na kuwaondosha wazungu wote waliokuwa nchini humo.
Misri ilijipatia uhuru wake rasmi, tarehe-18th-june-1953, kisha mataifa mengine ya Afrika kufuatia, ambapo hadi inafika mwaka 1960 karibu mataifa 17 yalishajipaita uhuru wake, ambao hadi hivi sasa kila mwaka huiadhimisha siku hiyo ya uhuru wao.



TUZIANGALIE NCHI HIZO NA MUDA WALIOJIPATIA UHURU WAO. (kwa kingereza)

COUNTRY


INDEPENDENCE DAY


COLONIAL NAME


COLONIAL RULERS


Algeria


July 5th, 1962

 
France


Angola


November 11th; 1975

 
Portugal


Benin


August 1st; 1960

 
French


Botswana


September 30th, 1966

 
Britain


Burkina Faso


August 5; 1960

 
France


Burundi


July 1st; 1962

 
Belgium


Cameroon


January 1st; 1960

 
French-administered UN trusteeship


Cape Verde


July 5th; 1975

 
Portugal


C.A.R


August 13th; 1960

 
France


Chad


August 11th, 1960

 
France


Comoros


July 6th; 1975

 
France


Congo


August 15th; 1960

 
France


Congo DR


June 30th; 1960

 
Belgium


Cote d'Ivoire


August 7th; 1960

 
France


Djibouti


June 27th; 1977

 
France


Egypt


February 28th, 1922

 
Britain


Eq Guinea


October 12; 1968

 
Spain


Eritrea


May 24th; 1993

 
Ethiopia


Ethiopia


over 2000 years,
Never colonized


(formerly)
Kingdom of Aksum


--


Gabon


August 17th; 1960

 
France


Gambia


February 18th; 1965

 
Britain


Ghana


6 March 1957


Gold Coast


Britain


Guinea


October 2nd; 1958

 
France


Guinea Bissau


10 September 1974
24 September 1973

 
Portugal


Kenya


December 12th, 1963

 
Britain


Lesotho


October 4th; 1966

 
Britain


Liberia


July 26th; 1847

 
American colonization Society


Libya


December 24; 1951

 
Italy


Madagascar


June 26th; 1960

 
France


Malawi


July 6th; 1964

 
Britain


Mali


September 22nd; 1960

 
France


Mauritania


November 28th; 1960

 
France


Mauritius


March 12th, 1968

 
Britain


Morocco


March 2nd; 1956

 
France


Mozambique


June 25th; 1975

 
Portugal


Namibia


March 21st; 1990

 
South African mandate


Niger


August 3rd; 1960

 
France


Nigeria


October 1st, 1960

 
Britain


Rwanda


July 1st; 1962

 
Belgium administered UN trusteeship


SaoTomePrincipe


July 12th; 1975

 
Portugal


Senegal


April 4th; 1960

 
France


Seychelles


June 29th; 1976

 
Britain


Sierra Leone


April 27th; 1961

 
Britain


Somalia


July 1st; 1960


British Somaliland
Italian Somaliland


Britain
Italy


South Africa


11 December 1931,
April 1994(end of apatheid)


Union of South Africa


Britain


Sudan


January 1st; 1956

 
Egypt, Britain


Swaziland


September 6th; 1968

 
Britain


Tanzania


April 26th, 1964

 
Britain


Togo


April 27th; 1960

 
French administered UN trusteeship


Tunisia


March 20th; 1956

 
France


Uganda


October 9th; 1962

 
Britain


Zambia


October 24th; 1964

 
Britain


Zimbabwe


April 18th; 1980

 
Britain
KUPATA HISTORIA ZAIDI YA TAIFA MOJAMOJA INGIA KWENYE LINK HAPA CHINI (bofya nchi husika)
CHANZO: Japan African Net
 
ZIADA KUHUSU TANZANIA HAPA:
 

COUNTRY FACTS: TANZANIA

Name(official):

United Republic of Tanzania

Name(short):

Tanzania

Capital City:

Dar es Salaam

Location:

Eastern Africa

Coordinate:

6 00 S, 35 00 E

Independence:

(From Britain) April 26th, 1964

President:

Doctor, JP Magufuli

Type of Government:

Republic

Total Area:

945 087sq.km.

Population:

37 445 392

People:

Mainland - African 99% (of which 95% are Bantu consisting of more than 130 tribes), other 1% (consisting of Asian, European, and Arab); Zanzibar - Arab, African, mixed Arab and African.

Religion:

christians34%, muslims35%, indigenous belief31% (Zanzibar is about 99% muslims)

Languages:

Swahili and English (official), plus other indigenous languages. Zanzibar is mostly Arabic.

Literacy:

78.2%total, 85.9%male, 70.7%female (2003 est.)

Currency:

Tanzanian shilling(1Tsh =100cents)

GDP(per capita):

$700 (2005 est.)

Arable Land:

4.23% (2005 est.)

Agriculture:

coffee, sisal, tea, cotton, pyrethrum, cashewnuts, tobacco, cloves, corn, wheat, cassava(tapioca), bananas, fruits, vegetable, cattles, sheep, goats.

Natural resources:

hydropower, tin, phosphate, coal, iron ore, diamonds, gold, natural gas, gemstone, nickel.

Embassy in Japan:

Embassy of the United Republic of Tanzania,
Chancery: 4-21-9, Kamiyoga, Setagaya-ku.
Post Code: 158-0098, Tel. 03-3425-4531/2
Embassy of the United Republic of Tanzania

General Info:
 

International Phone Code:

+255

 
 
 

No comments:

Post a Comment