FAHAMU KUHUSU SIKU YA
WAJINGA DUNIANITAREHE KAMA YA LEO
Fahamu kuhusu Siku ya wajinga Duniani (April 01 fools'Day |
April Fools Day > Kiswahili ni “Siku ya
wajinga”, Siku hii huadhimishwa Ulimwenguni pote kila Ifikapo tarehe 1 Mwezi 04
kila mwaka, na ni tofauti na Sikukuu za kiTaifa.
Maadhimisho ya siku hii ya Wajinga huwa na Pande
mbili, pia Huambatana na Utani Wa Vitendo “practical jokes” pamoja na
kusambaza taarifa za Uzushi.
Upande wa kwanza ni ule wa watu ambao hawaikumbuki
siku hii ya Wajinga, na Wapili ni ule wa Watu wanaokumbuka. Hivyo wahanga wa
siku hii ni wale Wasioikumbuka ambao wikifanikisha Kudanganywa huitwa WajingaWaAprili.
Mara nyingi Vyombo Vya Habari (Tv na Redio)
huripoti habari fulani za uongo, ambapo baadaye huzikanusha na kuwaakumbusha
watu kuwa 1 April ni siku gani. Magazeti Hayachapishi habari za uzushi kwani Mwisho Wa Kudanganya ni Saa04:00am Za Asubuhi.
Wajinga
“foolishness” hupewa majina tofautitofauti kulingana na Tamaduni za Sehemu
husika: Mfano Nchini Uingereza huitwa-“Noodle au Gobby”
Nchi za: Italia, Ufaransa, Ubeljiji,
Switzerland na Canada, Siku hii ya 1 April, Kiutamaduni Huitwa "April
fish" (Poissons d'avril kwa Ufaransa na Pesce d'aprile kwa
Italia) hii ni pamoja na kuambatanisha na Karatasi yenye Mchoro wa Samaki ndani
yake.
Nchini Brazil, Siku ya Wajinga Huitwa "Dia da Mentira" ("Day of the
lie") n.k.
ADHARI:
Watu wengi hupoteza mali
nyingi siku hii, Watu hupoteza Muda wao mwingi labda kwa kusafiri kutoka umbali
mrefu na kufuata habari au taarifa flani za uongo, Wapo watu waliodanganywa
kuwa wapendwa wao wamekufa na kuwapelekea wao kupatwa na #Kiharusi, Presha n.k.
Na hivyo wahusika #Hawachukuliwi kuwa na Hatia.
Also called
|
All Fools' Day
|
Type
|
Cultural, Western
|
Significance
|
Practical pranks
|
Observances
|
Comedy
|
Date
|
|
Next time
|
1 April 2016
|
Frequency
|
Annual
|
No comments:
Post a Comment