· MIKONDO
YOTE YA MAJI ILIYOPO CHINI YA ARDHI, CHANZO CHAKE NI BAHARI?
Makala na Stewart Meena. => [Twende Sawa]
1= Maji yaliyopo
karibu zaidi na uso wa dunia, huwa na uchafu mwingi (maji taka) ambapo Hayafai
kwa Matumizi ya Binadamu, maji haya mara nyingi #unapoyachimba hufaa tu kwa
matumizi ya Kufulia au kuogea na si safi kwa matumizi ya kunywa.
2= Eneo la Maji
linalofuatia, huwa ni maji safi lakini maji hayo huwa na Wingi wa magadi au
chumvi (maji chumvi) na hivyo hayana ladha kwa kuyanywa….
3= eneo la tatu, Yaani mbali zaidi na uso wa dunia
(km35-100) haya ndio #Maji_Safi na Salama kwa matumizi yakunywa kwani Hayana
Ladha ya chumvi wala Magadi…
#Mfano:
#AUSTRALIA Pekee: Inakadiriwa kwamba Zaidi ya Kilomita
Laki Tano (500,000) za Maji yasio na Chumvi yako chini ya Sakafu ya Bahari ya
Ulimwengu.
#Vicent mtaalamu wa Elimu ya maji wa Chuo Kikuu cha
#Flinders_Adelaide, anasema hivi: “Kuna wakati ambapo Usawa wa Bahari ulikuwa
chini zaidi kuliko vile ilivyo sasahivi” Hivyo Ufuo uliokuwepo wakati huo
Umemezwa na Maji.
Fikiria: #Mvua inaponyesha Ingejaza maji mpaka katika
Eneo lote Ambalo lipo chini ya Bahari, ingekuwaje (unapojifunza Recycling ya
Maji) yaani Maji #Kuchevushwa kutoka katika Vyanzo vya Maji na Nishati ya Jua,
na Kiasi cha mvuke wake Kupalizwa angani na kukutana na #Anga_Gesi (Nitrojen,
Sulfa, KabonDayoksaidi na Oksijeni) na kisha #Kugandishwa na kisha kunyesha
tena kama mvua#Duniani.
Hivyo Mvua inaponyesha katika Ardhi huingia chini ya Ardhi
na kukuta Mikondo ya Maji iliyopo chini ya Ardhi (Underground Wells &
Canals) na Mikondo hiyo husafirisha maji hayo hadi katika Bahari kuu na Pindi
jua linaponururishwa huyafukiza tena maji hayo kurudi tena Angani na kuwa mvua
tena…
SAYANSI DUNIA:
#Unajua Wanasayansi wanatumini kwamba kuhifadhiwa kwa
vyanzo vyote vya maji, kwa kuyaweka maji
katika sehemu salama kutoka Ardhini=>kwenda Bahararini=> kisha Angani na
kuwa Mvua tena, ndio sababu ya kuendeleza Uhai wa #WANADAMU.
Hivyo Kufanyizwa kwa sehemu hizo zilizoko chini ya
Bahari huenda Kungesaidia Watu wapatao Milioni-700 Ambao hawawezi kupata Maji
Safi na salama.
MIKONDO YA MAJI
CHINI YA ARDHI:
Mikondio yote iliyopo chini ya Ardhi, chanzo chake kikuu
ni bahari…
(huenda Ukajiuliza maswali kuwa Maji yawezaje Kupita
chini ya tabaka la Ardhi!?)
Eneo
la Ufuo wa Maji (mkoani tanga) hapa ni mandhari katika maeneo ya Mto pangani
Tanga. Picha na Stewart Meena.
|
#MIAMBA LAINI YA STALACTICE: Ndio chanzo cha maji
kupenya chini ya Ardhi na kupata njia yake (mkondo) katikati ya Miamba hiyo na
kuanza safari Muda hadi muda, kuelekea Maeneo mengine..
Hapa tukiwa (Ndani) katika mapango ya Amboni Taga Sehemu hii Wanapaita (Sehemu ya Kupakia Ngege kwani, Panaonekana Mfano wa Ngazi za Ndege, na Zimijitengeneza kuelekea juu. Picha na Stewart Meena |
No comments:
Post a Comment