Meli ya china iliyofanikisha utafiti huo kwa mara ya kwanza katika Babari ya pasifiki. |
Sampuli ya sponji wa rangi ya njano ina urefu wa sentimita 80. Watafiti wamesema sponji mkubwa wa rangi hii ni nadra kuona, na sponji wa kawaida huwa ni mweupe. |
Watafiti pia wamegundua sponji aina ya Venus's flower basket. (Pichani chini) Kamba aina ya Spongicola jike na dume wanapokuwa wadogo, huingia mwilini mwa sponji kupitia kwenye tundu zake. Kuishi ndani ya sponji ni salama, na bado wanaweza kupata chakula. Baadaye kamba hao wanakua na kuwa wakubwa, hawawezi kutoka tena. Dume na jike wanaishi huko maishani yao yote. Hivyo watu wa baadhi ya nchi wanawachukulia sponji wa aina hiyo kama alama ya "upendo wa kudumu.
source: China Radio blog.
No comments:
Post a Comment