Jerome Valke, naibu katibu wa Shirikisho la Soka duniani FIFA |
Kattnet raia wa Ujerumani mwenye umri wa
miaka 45 alikua akiitumikia nafasi hiyo baada ya aliyekua katibu Jerome Valcke
kutimuliwa kazi kutokana na kashfa za rushwa.
Kufutwa kazi kwa kiongozi huyu kulikuja mara
moja baada ya bodi ya uchuguzi ya ndani ya Fifa kugundua kulikua na ukiukwaji
na uvunjaji wa majukumu yake.
Kulikuwa na ushahidi wa kutosha kuonyesha
mapungufu katika majukumu yake kwa kutumia pesa za ziada ambazo waliamua kiasi
gani rais, katibu mkuu na naibu katibu mkuu walipwe.
No comments:
Post a Comment