Ripoti
mpya za Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) zimeonesha
list yenye majina ya mastaa 48 bora wa soka duniani wa muda wote ambao ni
wakongwe, zaidi wakitamba na timu zao za taifa ambapo kwa bara la Afrika limefanikiwa
kuingiza majina ya wachezaji 7 waliofanya vizuri kwenye listi hiyo.
Wachezaji kutoka Afrika waliotajwa kwenye Orodha hiyo ni
pamoja na Nwanko Kanu (Nigeria), George Weah (Liberia), Lucas Radebe (Afrika
Kusini), Mahmoud El-Khatib na Mohamed Aboutrika (Misri), Mustapha Rabah
(Algeria) na Roger Milla (Cameroon).
![]() |
George Weah, enzi zake akiwika zaidi na timu ya Liberia. kwasasa Weah ameachana na maswala ya soka na kujikita zaidi kwenye Maswala ya siasa |
Fahamu
zaidi, tunakuletea majina mengine ya wachezaji mashuhuri ambao waliweka rekodi kwenye
timu zao za taifa, na Klabu mbalimbali waliowahi zichezea.
Miongoni
mwa wachezaji hao ni pamoja na kiungo mshambuliaji aliyewahi kutamba na timu ya
taifa ya Brazil, huyu anaitwa (Edson Arantes Do Nascimento (PELE) huyu alitamba
nyakati zile za kina Maradona na Goli lake la mkono alilolibatiza (Goli la
mkono wa mungu).
Katika nafasi ya kiungo wa kati kwa
timu hiyo ya Brazil, aliyewahi kutamba na kushika nafasi hiyo ni pamoja na ‘Arthur (Antunes Coimbra) almaharufu
akijulikana kama (Zico), Manuel Francisco dos Santos (Garrincha)
Wachezaji wengine bora wa muda wote
kwa dunia ni pamoja na ‘Ronaldo Luís Nazário
De Lima’ (Ronaldo) akitokea timu ya taifa ya Brazil
, na ngazi ya klabu
akiwika na Real De Madrid ya nchini Hispania.

Nchini ujerumani wapo, viungo wa
kupanda na kushuka, kama vile Sweeper au Franz Anton Beckenbauer almaharufu kama (Becken-bauer) mshambuliaji
‘GERD MÜLLER akijulikana zaidi kama (Gerd)
pamoja na kiungo mkabaji ‘Lothar
Matthäus’
Nchini Uholanzi wamo Hendrik
Johannes Cruijff maarufu zaidi kwa jina la (Johan Cruyff)
akicheza nafasi ya
kiungo mshambuliaji. Wengine ni ‘Marco
Van Basten alwatan zaidi (Marco) pamoja na Ruud Gullit-OON / Netherlands.


Uingereza, wamo viungo
washambuliaji, Bobby Charlton akiichezea
timu man united wakati huo, akijulikana zaidi kama (Bobby) lakini pia kiungo wa katikati ‘
David Robert Joseph Beckham’ akijulikana kama
(David Beckham) naye ni miongoni mwa wachezaji hao wa misimu yote naye
akitokea uingereza na kuichezea man united pia.



![]() |
David Beckam,( manchester united legendary) Akiwika zaidi na timu yake ya taifa ya Uingereza |
- Forward / STANLEY
MATTHEWS LATE /
United Kingdom
- Midfielder / Diego
Armando Maradona Franco (Maradona) / Argentina
- Forward / Alfredo
Stéfano Di Stéfano Laulhé LATE / Argentina
- Forward / HAO
HAIDONG / China
- Defender / Sun
Jihai / China
- Forward / Mahmoud
El-Khatib (Bibo) / Egypt
- Midfielder / Mohamed
Aboutrika / Egypt
- Midfielder / Michel
Platini / France
- Midfielder / Zinedine
Yazid Zidane (Zizou) / France
- Goalkeeper / Antonio
Carbajal (Tota) / Mexico
- Forward / Hugo
Sánchez Márquez (Sánchez) / Mexico
- Forward / Eusébio
da Silva Ferreira (Eusébio) / Portugal
- Midfielder / Luís
Filipe Madeira Caeiro Figo (Luis Figo) / Portugal
- Goalkeeper / Dino
Zoff / Italy
- Forward, Midfielder / Roberto Baggio / Italy
- Striker / Mustapha
Rabah Madjer (Rabah Madjer) / Algeria
- Forward / Albert
Roger Mooh Miller (Roger Milla) / Cameroon
- Forward / Ferenc
Puskás LATE /
Hungary
- Forward / Baichung
Bhutia (Bhutia) / India
- Forward / Ali
Daei / Iran
- Midfielder / Hidetoshi
Nakata / Japan
- Striker / Cha
Bum-kun (Tscha Bum) / South Korea
- Striker / Jasem
Yaqoub Sultan Al-Besara / Kuwait
- Forward /
George Tawlon Manneh Oppong Ousman Weah (George Weah) /
Liberia
- Forward / Wynton
Alan Whai Rufer / New Zealand
- Forward / Nwankwo
Kanu / Nigeria
- Goalkeeper /José
Luis Félix Chilavert González (José Luis Chilavert)
/ Paraguay
- Goalkeeper / Lev
Ivanovich Yashin (Lev Yashin) LATE / Russia
- Forward / Majed
Ahmed Abdullah Al-Mohammed (Majed Abdullah) / Saudi Arabia
- Forward / Francisco
Gento Lopez (Paco) / Spain
- Striker / Tanju
Çolak / Turkey
- Forward / Oleh
Volodymyrovych Blokhin / Ukraine
- Inside forward / Juan Alberto Schiaffino Villano (Pepe) LATE / Uruguay
- Forward, Midfielder / Landon Timothy Donovan / USA
- Defender / Lucas
Valeriu Ntuba Radebe (Lucas Radebe) / South Africa
Midfielder / Ryan Joseph Giggs (Ryan Giggs) / Wales